tiko
tiko
Jay Z na Beyonce wameendelea ‘kula bata’ ikiwa ni mwendelezo wa kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Thailand.
Kila siku
ndani ya mwezi December mwaka 2014 ilikuwa na story yao, huo ni mwezi
ambao walikuwa wakijiachia kwa ajili ya mapumziko, tarehe 4 December
walikuwa katika visiwa vyenye baridi zaidi duniani, Iceland wakienjoy
birthday ya Jay Z, baada ya hapo tumesikia sana kuhusu uwepo wao Thailand ambako wamekaa kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Picha za mwisho zinawaonyesha wakitembelea maeneo ya Makumbusho, wanaonekana kufurahia wakati wote wa matembezi yao Thailand.
Juzi jumamosi wawili hao waliamua kutembelea mapango ya kitalii ya kihistoria ya Cambodia yaliyopo nchini humo.
tiko
tiko
Post a Comment