tiko
tiko
Chama cha Upinzani cha Chadema
Imewasaidia Vijana watatu kutoka mahabusu Baada ya Kukamatwa na Jeshi la
Polis Ijumaa iliyopita, Vijana hao walitembea kwa Miguu kutoka Geita
mpaka Dar es salaam huku wakiwa wamevaa magunia kwa muda wa mwezi mmoja
ili kuja kumshinikiza Rais Jakaya kikwete kutatua matatizo
yanayowakabili wananchi na kutumia vitega uchumi vizuri kwa faida ya
kila mwananchi
Safari ya hao vijana kutoka Geita
iliishia mikononi mwa polisi baada ya kufika Dar bila kutimiza lengo lao
la kumuona Rais kwa kili kinachosemekana kuwa hawakufuata utaratiba
unaopaswa ili kuweza kumuona Rais wa nchi hiii, chama cha Chadema baada
ya kuwatoa kimesema kitahakikisha haki yao inapatikana na kama
watashtakiwa basi itachukua jukumu la kuwasimamia mahakamani..
Je Mdau wa Udaku Una Maoni Gani Kuhusu Hao Vijana Waliotembea Muda wa Mwezi mmoja na Mwisho hawakuweza kutimiza lengo lao?
tiko
tiko
Post a Comment