tiko
tiko
Mrembo
na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper”
amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na mavazi
wanayovaa baadhi ya mastaa wengine hapa Bongo wakiwa mitaani au kwenye
burudani.Sasa jana mrembo huyu akatupia picha hizi akiwa beach amevalia
ka-pensi keupe huku juu amavalia brauzi nyeusi na kofia nyeupe
kichwanina huku akicheza na ka-"DOG" ..Kisha akawaandikia hivi mashabiki wake;
"Sikuwahi kuvaa nguo fupi wakati naenda
kanisani au sokoni nawakati wote mmekua mkinisifia navaa nguo za heshima
sasa mkitaka niiheshm paka beach mtakua mmetishaa saana wana ndugu
mnaojua sheria humu insta so mnataka beach nivae kanic au komeni pita
like utaki pita".
Mdau umeionaje hii!!!!
tiko
tiko
Post a Comment