tiko
tiko
“…Nilitukanwa sana
jana kwa kuwish wenzangu kheri ya xmass na kuonekana sina dini...
Niseme kitu kimoja wasanii kwenye mitandao hatupo kwa ajili ya kutangaza
dini tupo kwa ajili ya kutangaza kazi zetu na kuwa karibu na nyinyi
mashabiki wetu.
Pili kazi yangu hainunuliwi na watu
wa dini moja tu mi nafikiri uvivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau kuwa
msanii ni nani ndio unawafanya maneno mengi yawatoke, mi msanii sio
mwana zuoni msinivike taji lisilo kuwa langu, kama mahodari wa
kufundisha watu dini basi katazeni na viongozi wenu wa kislam wasijumike
na watu wakatazeni na kina Salmankhn wa India ambao wamemaliza misahafu
lakin wanavaa kofia za xmass, Je kazi zetu zingenunuliwa kwa ajili ya
dini, tungekuwa wapi leo?
Nina follows zaidi ya elfu 96
sidhani kama wote ni dini yangu, kifupi sipendi malumbano ya dini kwenye
page yangu plz naheshimu kila mtu na kila shabiki yangu hata kama
mpagani ukitukana tu hapa mi na wewe..” - Wastara Sajuki
Huu si uungwana jamani, udini sio ishu! Tubadilike.
tiko
tiko
Post a Comment